Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Dunia Mjini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri
Mkuu wakipita mbele ya mgeni rasmi Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Mhe.Jabir Shekimweri (hayupo pichani) wakati wa Sherehe za Mei Mosi
zilizofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho
ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Maadhimisho
ya Sherehe za Mei Mosi yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Mhe.Jabir Shekimweri akisoma hotuba wakati wa Sherehe za Mei Mosi
zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
Post a Comment