Kitaifa, Kimataifa, Siasa, Michezo na Burudani

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ALIPOTEMBELEA MAONYESHO SABASABA

UTI1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akifurahia jambo na baadhi ya Wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni  jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
UTI2
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na baadhi ya Wakurugenzi na waoneshaji nje ya banda la Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni  jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
UTI3
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi wa akizungumza jana na Baadhi ya Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya  Wizara ya Maliasili naUtalii mara baada ya kutembelea banda hilo katika Maonyesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yaliyoanza Juni 28 – Julai 8, 2017 ambapo kwa mwaka huu yameongezewa siku tano zaidi na kutarajiwa kumalizika Julai 13, 2017, yaliyozinduliwa hivi karibuni  jijini Dar es salam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
UTI4
Mwenyekiti wa Bodi ya TTB, Jaji mstaafu Thomas Mihayo (katikati) akizungumza na Waoneshaji  alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili naUtalii, (wa pili kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi (Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
UTI5
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj.Gen. Gaudence Milanzi (wa tatu kuli) akizungumza na Waoneshaji jana  alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili naUtalii, Mwenyekiti wa Bodi ya TTB, Jaji mstaafu Thomas Mihayo (wa pili kulia) akiwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Taifa ya Utalii, Devotha Mdachi( wa kwanza kulia) (Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
UTI6Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye lango la bustani ya wanyamapori hai wakielekea kuwaangalia wanyama kama vile simba , nyati, chui mamba, chatu pamoja na ndege wa aina mbalimbali. (Picha na Lusungu Helela- Maliasili na Utalii)
Labels:

Post a Comment

[facebook]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget