Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagama,wa pili kulia jana alipata fursa ya kutembelea kiwanda cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC),wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Anna Mghwira na wa kwanza kulia ni Meneja mkuu Kilimanjaro Machine Tools Eng.Adriano Nyaluke akitoa taarifa za uzalishaji wa kiwanda hicho(Picha na Pamela Mollel Arusha)
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagama akiteta jambo na wakurugenzi wa mifuko ya jamii jana katika ziara yake katika kiwanda cha kutengeneza
vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC),Kulia ni
Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa GEPF Mh..Daud Msangi ,kushoto
ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF Mh. William Erio
Mkurugenzi mkuu
wa mfuko wa pensheni wa GEPF Mh..Daud Msangiakizungumza mara baada ya
kutembelea kiwanda hicho,alisema mfuko wa hifadhi ya jamii ya GEPF
umeshakamilisha mkopo wa bilion 1.6 kwaajili ya kuboresha kiwanda hicho
ikiwa ni pamoja na kutengeneza kinu cha kuyeyushia vyuma,kukarabati
mfumo wa umeme,pamoja na kununua maligafi
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista
Joakim Mhagam akiwa anatoa maelekezo katika kiwanda hicho ambapo
alisema kuboreshwa kwa kiwanda hicho kitasaidia ajira kwa vijana
Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Wizara ya viwanda,Biashara na Uwekezaji Eng.Elli Pallangyo akitoa ufafanuzi kwa Waziri.
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagam akiangalia baadhi ya vyuma vilivyo zalishwa katika kiwanda hicho
Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji
shirikisho la Taifa Maendeleo (NDC)Mh.Ramson Mwilangali akitoa maelezo
kwa Waziri jana Mkoani Kilimanjaro
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Anna
Mghwira akizungumza mara baada ya kutembelea kiwnda hicho amabapo
alisema anaunga mkono jitihada za serikali katika kufufua viwnda hapa
Nchini
Mashine za uzalishaji
Wa kwanza kushoto ni Joseph
Mrina Ambaye ni kiongozi mkuu ndani ya kiwanda hicho akiwa Anna Mosha
ambaye yeye ni Fundi wa mashine wakionyesha moja ya mashine ya kuranda
mbao waliyoitengeneza hivi karibuni
Wakurugenzi wa Key Media Arusha Sara Keiya na Anna Keiya wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagam jana Mkoani
Kilimanjaro
Kilimanjaro
Moja ya wafanyakazi katika kiwanda hicho akiendelea na uzalishaji
Katibu wa shirikisho la mifuko ya hifadhi ya jamii Nchini (TSSA)Meshach Bandewa akitoa utambulisho kwa Waziri jana .
……………………………………………………………………..
Serikali ipo katika hatua za mwisho katika kuhidhinisha bilioni 1.6 kutoka katika mfuko wa
hifadhi za jamii GEPF kwaajili ya kujenga kinu cha kuyeyushia vyuma katika kiwanda cha kutengeneza
vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC)
hifadhi za jamii GEPF kwaajili ya kujenga kinu cha kuyeyushia vyuma katika kiwanda cha kutengeneza
vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools Limited (KMTC)
Akizungumza
jana katika kiwanda hicho mara baada ya kutembelea Waziri wa
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Joakim Mhagama,alisema
kuwa fedha hizo zitatumika kwaajili ya kuboresha kiwanda hicho kwa lengo la kufufua kwa kuwa kiwanda hicho
kinabeba dhana nzima ya maendeleo ya uchumi wa viwanda kwenye nchi ya Tanzania

Alisema kuwa mfuko wa GEPF baada ya kupokea maagizo kutoka
kwa Rais akihimiza Serikali ya viwanda ,wameweza kujiridhisha kuwa wanauwezo wa
kuwekeza katika kiwanda hicho cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC)
kwa Rais akihimiza Serikali ya viwanda ,wameweza kujiridhisha kuwa wanauwezo wa
kuwekeza katika kiwanda hicho cha kutengeneza vipuri na mashine cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC)
Kwa upande wake Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Pensheni wa GEPF Daud Msangi alisema kuwa katika uwekezaji huo kiwanda hicho kitaweza
kujenga kinu cha kuyeyushia vyuma ambayo ndio maligafi yao kubwa ya kuchonga
vipuri na mashine mabalimbali
kujenga kinu cha kuyeyushia vyuma ambayo ndio maligafi yao kubwa ya kuchonga
vipuri na mashine mabalimbali
Aidha aliongeza kuwa kiwnda hicho
kinakabiliwa na chagamoto ya umeme ambapo pesa hizo zitatumika katika
kukarabati mfumo wa umeme katika kiwanda hicho
kinakabiliwa na chagamoto ya umeme ambapo pesa hizo zitatumika katika
kukarabati mfumo wa umeme katika kiwanda hicho
Post a Comment