Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Bw. Muganyizi
Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati
alipotembelea banda la maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika
ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa
jijini Dar es salaam katika maonyesho ya baisha ya (TANTRADE)
yanayoendelea.
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akiwa ameketi na Bw. Muganyizi
Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo wakati
alipotembelea banda la maonyesho la benki hiyo lililopo namba 85 katika
ukumbi wa Sabasaba Hall viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa
jijini Dar es salaam, kulia ni Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa
benki hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF
AFRICA Tanzania Bw. Ammish OwusuAmoah akisikiliza maelezo ya Bw.
Muganyizi Bisheko Meneja Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA leo
wakati alipotembelea katika banda hilo.
Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo akizungumza na mmoja wa wateja wa benki hiyo aliyetembelea katika banda hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah akisalimiana na Bw.Yusuph Mdoe
Mratibu wa Mauzo katika benki hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa BANK OF
AFRICA Tanzania Bw. Ammish Owusu Amoah na Bw. Muganyizi Bisheko Meneja
Masoko/ Utafiti Maendeleo wa BANK OF AFRICA Tanzania wakiwa katika picha
ya pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo kutoka kulia ni Afisa Mahusiano
wa BANK OF AFRICA tawi la Tandika Bi. Beatrice Richard na Bw.Yusuph Mdoe
Mratibu wa Mauzo na kutoka kushoto ni Afisa Uhusiano Emmy Addie na
Bi.Beth Mwalusako Afisa Mahusiano wa benki hiyo.
Katoka kulia ni maafisa Mahusiano wa BANK OF AFRICA Bi. Beatrice Richard, Bi.Beth Mwalusako na Emmy Addie
Post a Comment