…………………….
NteghenjwaHosseah – Kibakwe
UharibifuwavyanzovyamajinitatizolililokithirikatikamaeneomengiNchini
Tanzania
hukuwananchiwamaeneohayowakiendeleakushuhudianakuvumiliauharibifuhuoetikwasababutuwahusikanindugu,
jamaaamamarafikiwajamiihusika.
Pasipokujaliatharizinazowezakutokeakutokananauharibifuwamazingirahususanvyanzovyamajiwananchiwameendeleakulima,
kufuga,
kuchungapamojanakuishikatikamaeneohayopasipokuwanashakayoyotenakusababishaukosefuwamajikwajamiiinayotegemeavyanzohivyo.
AtharizaidizimethibitijakatikaKijiji
cha ChinyikanaLukolevilovyopo kata
yaChinyikakwakukosamajikutokananaUharibifuuliofanywanabaadhiwawananchikatikachanzo
cha majikwenyemilimayawotaambachondiochanzokikuu cha
majiyamtiririkokwawananchizaidiyaelfusaba.
Hali
hiiimepelekeawananchiwavijijihivyovyenyevitongojizaidiyakuminatanokuwekeanazamuyakuchotamajiambapokwa
wiki kilaKijijihupatamajikwasikutatunakila kaya
huchotaNdoonnekwasikuyazamuyaoambapokiasihichohakiwajawahikuwatoshamahitajiya
Kaya.
WananchiwaKijiji cha
ChinyikawamepazasautizaokwaWaziriwaNchi – OfisiyaRaisTamisemiMhe. George
SimbachawenewakatiwaziarayakeKatikavijijihivyonakulalamikiatatizo la
upungufuwamajinaadhawanayopatakutokananahalihiyo.
Mhe.
WaziriSimbachaweneameshuhudiafolenindefuyandoozawakinanawakiwabondanikusubiriakupatajapomajiyakupikiachakula
cha Familia: Wakinamamahaohushindazaidiyasikunzimabombanihapo au
penginekukeshailikuwanauhakikawakupatajapondoomojayamajikwamatumiziyanyumbani.
AkizungumzanawakinamamaMhe.
Waziriamesemaanatambuaadhawanayoipatanaamewahakikishiakwambaataanzakutatuachangamotohiyokwakuhakikisha
wale
wotewanaharibuvyanzovyamajikatikaWilayayaMpwapwawanatiwanguvuninakuchukuliwahatuazakisheria.
“NinajuakwambawaharibifuwavyanzohiviniwatuwenyenguvulakininamimintaongezanguvukwenyeKikosikazi
cha Wilayailikuhakikishakwamba wale
wotewanaoishikaribunavyanzohivyowanahamishwanamazaoyaoyanaharibiwa,
mifugoinaondolewanawanapelekwaMahakamani” alisemaMhe. Simbachawene.
PiaaliongezakuwaFedhazimekwishatengwazaidiyaTsh
Mil 160
kwaajiliyaukarabatiyamiundombinuinayotoamajikutokakatikaMilimayaWotakupitiaKingitihadikufikaLukolenaHalmashauriyaMpwapwaimeanzautekelezajiwamradihuuutakaokuwanamanufaakwawananchinaataongezaTsh
Mil 13 kwaajiliyakuchimbakisima.
NayeMhandishiwaMajikatikaHalmashauriyaWilayayaMpwapwa
Bi.
ApoloniaTemuameelezeasababuyaukosefuwamajikatikavijijihivyokuwanipamojanauharibifuwamazingira,
ongezeko la
watuukilinganishanahapoawalinauchakavuwamiundombinuambayokwasasaimeanzakukarabatiwa.
Mhe.
WaziriSimbachaweneameendeleanaziarayakekatikaJimbo la
KibakwenakwasikuyatatuametembeleavijijivyaLukole,
KingitinaItengeambapoamefanyamikutanoyahadhara,
amesikilizakerozawananchipamjanakukaguamiradiyamaendeleo.
Post a Comment