Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani
nchini,Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi
wa Ubalozi huo, Marilyn Gayton(kulia), walipomtembelea ofisini kwake
kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama,jijini Dar es Salaam
leo.Kushoto ni Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Balozi wa Marekani nchini,
Dk. Inmi Patterson, akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipomtembelea Waziri huyo kujadili Masuala
ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Kaimu Mkuu wa
Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo,Marilyn Gayton na kushoto ni
Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akimsikiliza Naibu Balozi wa Marekani
nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia) alipomtembelea ofisini kwake kujadili
Masuala ya Ulinzi na Usalama, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na Naibu
Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson(kulia), baada ya kumaliza
mazungumzo yaliyohusu Masuala ya Ulinzi na Usalama.Kikao hicho
kimefanyika leo jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Post a Comment