Msanii Hussein Kidahile aliyesimama wa kikundi cha Splendid akichangia hoja ya namna ya kufanyika tamasha hilo kwenye mkutano.
Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib akifafanua sababu ya kuhamisha tamasha la wasanii kutoka Mkuranga kuhamia Dar es Salaam.
……………………..
Na Mwandishi wetu
> >
> > MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)umehamisha tamasha lao la wanamichezo na Wasanii kutoka kijijini kwao Mwanzega Mkuranga kwenda jijini Dar es Salaam.
> >
> > Akitoa taarifa kwenye mkutano wa wanachama na viongozi wa vikundi vinavyoshiriki tamasha hilo jana, Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib alisema sababu kubwa ya kuhamisha tamasha hilo ni kutokana na mvua ya msimu uliopita kuharibu barabara ya kwenda kijijini.
> >
> Taalib alisema tamasha hilo sasa litafanyika kwa siku mbili kuanzia Julai 14.7.2017 mpaka Julai 15 mwaka huu katika viwanja vya Chuo cha Uhazili, splendid Ilala Bungoni.
>
> >
> > Alisema mpaka sasa wanatarajia kupokea wanamichezo kutoka sehemu mbalimbali kama vile Mkuranga, Kibiti, Zanzibar na Morogoro ambako zaidi ya wanamichezo 600 wamethibitisha kushiriki.
> >
> > Baadhi ya michezo ambayo itafanyika ni sarakasi, Tae kwon-do, muziki wa dansi, ngumi, soka,rede,muziki wa asili,wu shuu,ngoma,singeli na michezo mingine.

Alisema kampuni ya SBC
wanaotengeneza soda za Pepsi imekubali kuwa wadhamini wakuu wa tamasha
hilo na kuongeza kuwa milango iko wazi kwa wadhamini wengine kujitokeza.
> >
> > Akizungumzia ujenzi wa nyumba zao kijijini alisema mgawo na makabidhiano ya nyumba 14 ndogo,kubwa tatu na viwanja 35 vilivyopimwa utafanyika Julai 16 siku moja baada ya kumalizika tamasha hilo.
> >
> > Alisema kuanzia sasa wanachama wanaotaka kujenga nyumba zao wenyewe wawasiliane na Shiwata ili wapewe maelekezo na utaratibu wa kufanya usafi kwenye makazi yao.
>
> Mwenyekiti alisema utaratibu wa kulipia umeme kupitia mpango wa umeme vijiijini (REA)unaendelea na mikakati ya kukarabati barabara ya kufika kijijini unafanyika.

Post a Comment